AKIWA KATIKA MIENENDO YAKE.
Wang Xihai, mwenye kummiliki Nguruwe huyo,
aliliambia gazeti la Telegraph kwamba: "Mke wangu alitaka tumtupe lakini
nilikataa.
Niliona tumpe fursa tuone kama ataishi, na
kweli aliendelea kuishi."
Aliendelea kusema aliamua kumfanyisha mazoezi mnyama huyo baada ya kuzaliwa, na
baada ya siku 30 aliweza kutembea akirukaruka.
Pia alisema tangu kuzaliwa kwa nguruwe huyo ambaye hivi sasa ana uzito wa kilo
50, nyumba yake imekuwa ikijaa watu kila siku kwenda kumtazama
No comments:
Post a Comment