Homa kali imetanda duniani kote juu ya Pweza wa ajabu ambaye ametokea huko mjuu nchini Ujerumani.Amezua umaharufu mkubwa miongoni mwa watu wengi sana duniani kote ,ameonekana maranyingi kwamba kila anachokitabiri huwa kweli! Wazee walinganisha wenye maskani yao uko nchini kenya wamesema inasemekana kuwa huyu Pweza amekewa mkali zaidi kuliko hata shek. Yahaya wa nchni Tanzania ,Pweza huyu alitabili juu ya mechi ya ujerumani na Argentina na ikawa kweli! Jamaa anae ishi Pweza huyu anayejulikana kwa jina la Paul amesema Pweza huyu ajawahi kukosea kamwe.
No comments:
Post a Comment